http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html
Showing posts with label Wazee waanzilishi wa Darasa kongwe Msikiti Gofu. Show all posts
Showing posts with label Wazee waanzilishi wa Darasa kongwe Msikiti Gofu. Show all posts

Sunday, June 9, 2019

Wazee waanzilishi wa Darasa kongwe Msikiti Gofu, Mkunazini Mjini Zanzibar


Hii picha imepigwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ya 27 1440h, sawa na siku ya Jumapili May 2, 2019  baada ya Takhtimu ya Kufunga Darasa ya Msikiti Gofu, Utaratibu ambayo umeasisiwa Na Wazee waanzilishi wa Darasa Kongwe hapa Mkunazini Mjini Zanzibar. 

Kutoka Kushoto:-
1. Sayyid Arif bn Syd Mohd Al bidh ndie alisomasha siku hizi Tatu za Mwisho.
2. Sayyid Ahmed bn Aballah Shatry.
3. Sayyid Mohd bn Omar Aal Sheikh Bubakar.
4. Sayyid Mud-hir bn Syd Ali Kulatein Imam wa Gifu.
5. Sayyid Abuu Alama

Maelezo via Sayyid Mohd bn Omar Aal Sheikh Bubakar
Mhariri Sayyid Abubakar Ahmed bn Aballah Shatry.

SIKILIZA DARASA YA MWISHO RAMADHANI YA 27 1440h NA ALHABIB ARIF BIN MOH'D ALBEEDHIY : #TAFSIRI YA QUR-AN