
Hii picha imepigwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ya 27 1440h, sawa na siku ya Jumapili May 2, 2019 baada ya Takhtimu ya Kufunga Darasa ya Msikiti Gofu, Utaratibu ambayo umeasisiwa Na Wazee waanzilishi wa Darasa Kongwe hapa Mkunazini Mjini Zanzibar.
Kutoka Kushoto:-
1. Sayyid Arif bn Syd Mohd Al bidh ndie alisomasha siku hizi Tatu za Mwisho.
2. Sayyid Ahmed bn Aballah Shatry.
3. Sayyid Mohd bn Omar Aal Sheikh Bubakar.
4. Sayyid Mud-hir bn Syd Ali Kulatein Imam wa Gifu.
5. Sayyid Abuu Alama
Maelezo via Sayyid Mohd bn Omar Aal Sheikh Bubakar
Mhariri Sayyid Abubakar Ahmed bn Aballah Shatry.

No comments:
Post a Comment