http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html
Showing posts with label Kisomo cha Dada yake Halima Ali Mzee Washington. Show all posts
Showing posts with label Kisomo cha Dada yake Halima Ali Mzee Washington. Show all posts

Friday, November 22, 2019

Kisomo cha Dada yake Halima Ali Mzee Washington


Assalamualaikum Warahmatullahi Wabarakatuh

Kwa niaba ya familia ya Bi Halima Ali Mzee, inapenda kuwatarifu kufanyika kisomo cha kumuombea DUA Dada yao mpendwa Hayati Bi Ashura Ali Mzee aliefariki siku ya Alhamis Nov 14, huko Tanzania.

Kisomo kitafanyika Siku ya Jumamosi, Nov. 30th 2019

[6p:m -10:pm]

Anuani: Indian Springs

9717 Lawndale
Dr Silver Sping 20901 MD

Atakaepata taarifa hii, anaombwa amtaarifu na mweziwe.

Tunatanguliza Shukrani