
Assalamualaikum Warahmatullahi Wabarakatuh
Kwa niaba ya familia ya Bi Halima Ali Mzee, inapenda kuwatarifu kufanyika kisomo cha kumuombea DUA Dada yao mpendwa Hayati Bi Ashura Ali Mzee aliefariki siku ya Alhamis Nov 14, huko Tanzania.
Kisomo kitafanyika Siku ya Jumamosi, Nov. 30th 2019
[6p:m -10:pm]
Anuani: Indian Springs
9717 Lawndale
Dr Silver Sping 20901 MD
Atakaepata taarifa hii, anaombwa amtaarifu na mweziwe.
Tunatanguliza Shukrani

No comments:
Post a Comment