http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html

Monday, May 13, 2019

SPIKA 'Ashindwa Kujizuia' AMCHARUKIA Mbunge, NAPE Ambana Waziri!

Spika wa Bunge, Job Ndugai, amelikataa swali la Mbunge wa Malindi (CUF), Ali Saleh, alilouliza kuhusiana na muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo amedai kuwa makubaliano yalikuwa ni kuwa na nchi mbili tofauti, serikali mbili isipokuwa tu Taifa ndio liwe Moja...

Kabla ya kumruhudu waziri mwenye dhamana ya Muungano, January Makamba, kujibu swali hilo, Spika Ndugai amemtaka Mbunge Ali Saleh, kueleza ni kifungu gani kwenye katiba kimeandikwa hivyo na aliposhindwa kutaja akalikataa swali lake...

No comments:

Post a Comment