http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html
Showing posts with label SERIKALI YASEMA IMESAINI MKATABA WA AFCFTA. Show all posts
Showing posts with label SERIKALI YASEMA IMESAINI MKATABA WA AFCFTA. Show all posts

Friday, May 31, 2019

SERIKALI YASEMA IMESAINI MKATABA WA AFCFTA

Serikali imesema imesaini Mkataba wa makubaliano wa eneo huru la biashara barani Afrika (AfCFTA) na ipo katika hatua ya kuupitia ili kufahamu faida na hasara zake.

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi ameliambia bunge wakati akijibu hoja za wabunge kwenye wizara yake