KUfuatia sakata la Daktari wa kituo cha Afya Ngarenaro mkoani Arusha, kudaiwa kufukuzwa kazi na Katibu Mwenezi wa (CCM) Kata ya Levelosi, kutokana na Mwenezi huyo kufanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo na kukuta hakuna Daktari aliyekuwepo kwa muda huo...
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania, Elisha Osati, amezungumza na wanahabari leo Aprili 23, na kutoa ufafanuzi wa kina kuhusiana na sakata hilo ambalo lime trend sana mitandaon.
Via Global TV Online
