http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html
Showing posts with label Msikilize SPIKA NDUNGAI alivyotoa ufafanuzi wa hesabu CAG. Show all posts
Showing posts with label Msikilize SPIKA NDUNGAI alivyotoa ufafanuzi wa hesabu CAG. Show all posts

Thursday, May 16, 2019

Msikilize SPIKA NDUNGAI alivyotoa ufafanuzi wa hesabu CAG

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania amesema amepokea ripoti ya hesabu za ofisi ya taifa ya ukaguzi CAG, na kusema kwa mujibu wa kifungu cha 46 kifungu kidogo cha kwanza cha sharia ya ukagiuzi wa umma, hesabu za CAG zinapaswa kukaguliwa angalau mara moja kwa mwaka.

Hivyo kampuni ya ukaguzi inayoitwa EK MANGESHO AND COMPANY imeshapatikana na kuleta tathmini ya ukaguzi ya hesabu iliyokaguliwa na ofisi hiyo.