http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html
Showing posts with label KUHUSU TUNDU LISSU. Show all posts
Showing posts with label KUHUSU TUNDU LISSU. Show all posts

Monday, July 1, 2019

CHADEMA WACHARUKA, KUHUSU TUNDU LISSU, KUVULIWA UBUNGE

Uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA leo wamezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ishu ya Spika Ndugai Kumsitisha Ubunge, Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antipas Lissu.

Wameongeza kuwa baada ya chama kujadiliana tumefukia makubaliano haya "chama kimeandika barua kwenda kuomba nakala ya hayo maamuzi yake, nakala ya maamuzi ambayo ameyapeleka NEC"