http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html
Showing posts with label CHADEMA Wamvaa NDUGAI. Show all posts
Showing posts with label CHADEMA Wamvaa NDUGAI. Show all posts

Friday, July 5, 2019

CHADEMA Wamvaa NDUGAI, Waanika MAZITO "Tuletee Vyeti"

Baraza la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limezungumza na waandishi wa habari leo Julai 05, kuhusiana na mambo mbalimbali ya kisiasa ikiwemo Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani.