http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html
Showing posts with label Angalia Ikulu LIVE. Show all posts
Showing posts with label Angalia Ikulu LIVE. Show all posts

Thursday, June 13, 2019

Angalia Ikulu LIVE, Rais Magufuli akutana na wabunifu wa mitambo midogo ya kufua umeme

Rais Magufuli leo 13 Juni, 2019 anakutana na kufanya mazungumzo na wabunifu wa mitambo midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji ya mito Ikulu jijini Dar es Salaam.