Fainali ya soka kuwania taji la mataifa bingwa barani Afrika, inaanza tarehe 21 mwezi Juni nchini Misri. Mataifa 24 yatashiriki katika michuano hii kwa mara ya kwanza, na tayari makocha wameshatangaza vikosi vya mwisho.
The Trophy of Africa’s most prestigious football tournament AFCON
SuperSport
Kundi A:
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Makipa: Parfait Mandanda (Dinamo Bucharest/ROM), Ley Matampi (Al Ansar/KSA), Anthony Mossi (Chiasso/SUI)
Mabeki: Glody Ngonda, Djuma Shabani (both V Club), Christian Luyindama (Galatasaray/TUR), Arthur Masuaku (West Ham/ENG), Wilfred Moke (Ankaragucu/TUR), Issama Mpeko (TP Mazembe), Marcell Tisserand (Wolfsburg/GER), Bobo Ungenda (Primeiro Agosto/ANG)
Viungo wa Kati: Merveille Bope, Paul-Jose Mpoku (both Standard Liege/BEL), Jacques Maghoma (Birmingham City/ENG), Chancel Mbemba (Porto/POR), Tresor Mputu (Mazembe), Youssouf Mulumbu (Kilmarnock/SCO)
Washambuliaji: Chadrack Akolo (Stuttgart/GER), Britt Assombalanga (Middlesbrough/ENG), Cedric Bakambu (Beijing Guoan/CHN), Yannick Bolasie (Everton/ENG), Jonathan Bolingi (Antwerp/BEL), Elia Meschak (Mazembe)
Misri
Makipa: Mahmoud ‘Genesh’ Abdelrahim (Zamalek), Mohamed el Shenawy (Al Ahly), Ahmed al Shennawy (Pyramids)
Mabeki: Mahmoud Alaa, Mahmoud Hamdy (both Zamalek), Omar Gaber, Ahmed Ayman Mansour (both Pyramids), Ayman Ashraf (Ahly), Ahmed Elmohamady (Aston Villa/ENG), Baher El Mohamady (Ismaily), Ahmed Hegazi (West Bromwich Albion/ENG)
