Sunday, March 22, 2026
Balozi Elsie Sia, ajumuika na Jumuiya ya Kisilam TAMCO - Kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitry Washington DC
Mweshimiwa Dkt Dr. Elsie Sia Kanza, balozi wa Tanzania nchini Marekani amewashukuru Uongozi wa Tamco kwa ushirikiano wao na ubalozi wao uliopo hapa Washington DC.
Ametoa Shukran hizo wakati akizungumza na waumin wa Kislam katika Sherehe ya Eid ilioandlia na Jumuiya ya Waislam waishio DMV, katika ukumbi wa Argyle Local Park, Siliver Spring MD, baada ya kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhan
Aidha amewataka kuzidi kuimarisha upendo na undugu ili kuipa matumauni Tanzania haswa kwa watanzania waishio nje kwa ajili ya Taifa Lao
Mhe balazi alipata fursa ya kupiga picha na watoto ambao ni wanafunzi waliotunukiwa Shahada kwaajili ya Kufanya vizuri katika Mwezi mtukufu wa Ramadhani na kufurahishwa juu ya maendeleo yao.!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment