http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html

Friday, March 31, 2023

Hitma ya Mama Yetu Mpendwa Hayati Bi Naima Ahmed Abubakar Jamalu Leyl,


Hitma ya kuwaombea Dua Mama mpendwa yetu Hayati Bi Naima Ahmed Abubakar Jamalu Leyl, aliefariki siku ya Alhamisi March 9, 2023, Zanzibar | Kisomo kilifanyika siku ya Jumamosi March 25, 2023 | Washington DC Nchini Marekani | Tunamuomba Allah atakabal DUA zetu na awarehem wazee wetu wote waliotangulia mbele ya Haki na awaweke katika mabustan ya peponi, atupe mwisho mwema, Amin.

No comments:

Post a Comment