http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html

Wednesday, May 15, 2019

MAFURIKO DAR: Hali Ilivyo JANGWANI, Usafiri Unaotumika HATARI Tupu!

Mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa katika jiji la Dar es Salaam, zimesababisha madhara makubwa hususani katika maeneo ya Jangwani ambapo hali imekuwa tete kiasi kwamba watu wanapata tabu kuvuka upande mmoja kwenda mwingine...

Global TV imefika Jangwani kujionea hali halisi pamoja na kuzungumza na waathirika wa mvua hizi ambapo hali iliyopo hivi sasa ni kwamba watu wanatumia Guta kuvuka na kuchajiwa shilingi 1000....

No comments:

Post a Comment