http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.html

Tuesday, May 7, 2019

ANGALIA LIVE KUAGWA KWA MWILI WA MENGI, VIWANJA VYA KARIMJEE

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, unatarajiwa kuagwa leo Mei 07, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam...

Mwili huo uliwasili jana Mei 06, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere ukitokea Dubai ambapo baada ya kuagwa utasafirishwa kuelekea kijijini kwao Machame mkoani Kilimanjaro na kuzikwa siku ya Alhamis...


No comments:

Post a Comment